$2+

Habaritech Magazine 1

11 ratings
I want this!

Habaritech Magazine 1

$2+
11 ratings

Ikiwa ni magazine ya kwanza kabisa ya uchambuzi wa teknolojia kwa kiswahili. Toleo hili limejikita zaidi katika uchambuzi wa mtandao, uanzishaji wa sarafu ya kidijitali ijulikanayo kama "Bitcoin" na vijana wa Kitanzania wanavyoitumia teknolojia kuleta mabadiliko hapa Tanzania.


Mara nyingi huwa tunaona kwamba bando zetu zinawahi kuisha kabla ya muda wake. Wakati mwingine unaona kwamba spidi ya mtandao wako inakuwa chini sana, ijapokuwa simu inasoma nguvu ya 4G. Ni nini kinakuwa kinaendelea nyuma ya pazia? Pitia makala hii uweze kujua ISP huwa anafanya nini mpaka inakuwa hivyo.


Ushawahi tamani bidhaa/huduma fulani lakini unashindwa kuipata kwa sababu hauna pesa ya kulipa kwa mara moja? Tunzaa na Swahilies huduma zinazoendeshwa na vijana wa kitanzania wamekuletea njia rahisi ya kufanya malipo kwa kulipa kidogo kidogo. Ndani ya makala hii utaelewa kila kitu kiundani.


Usisubiri kusimuliwa na mwingine, pakua sasa BURE kabisa uendelee kujisomea polepole.


Karibu sana.

$
I want this!
Size
12 MB
Length
21 pages
Copy product URL

Ratings

5
(11 ratings)
5 stars
100%
4 stars
0%
3 stars
0%
2 stars
0%
1 star
0%