Profile PictureHabariTech
$2+

Habaritech Magazine 2

14 ratings
Add to cart

Habaritech Magazine 2

$2+
14 ratings

Internet tunayotumia ni 4% tu ya jumla ya internet.

Mara nyingi vyombo vya habari huripoti Dark Web, Deep Web na Darknet kama kitu kimoja. Hii si sawa kabisa kitaalamu. Watumiaji wengi wa internet wanatumia surface web ambayo inachukua 4% tu ya jumla ya internet. Yaani hii internet yote unatumia ni 4% tu ya jumla ya internet. 96% iliyobaki ipo kwenye Deep web, Dark web na Darknet. Toleo la 2 la magazine ya Habaritech linaelezea utofauti huo kiutaalamu zaidi. Kuanzia namna inavyopatikana mpaka usalama wake.

Kuna usalama kiasi gani unapotumia apps za benki kufanya miamala?

Mara nyingi watu wamekuwa na hofu ya jutumia apps za benki katika simu janja zao. Wengi wakihofia kwamba pesa zao zinaweza potea iwapo wadukuzi watadukua simu zao. Mtaalamu wa usalama wa mifumo "Ally Ndimbo" ametuelezea vizuri kabisa kuhusiana na usalama wa apps za benki.

Mitandao ni migodi ya pesa (Pesa za Kudownload)

Kuwa na smartphone na uwezo wa kupata internet na ukashindwa kutumia nafasi kujipatia kipato ni kama kuwakosea watu waliokosa bahati hiyo. Wataalamu waliobobea katika kutengeneza pesa kupitia mitandao Gillsant Mlaseko, Nyanda Amosi na Ally wameelezea kwa wepesi namna unaweza ingia pesa kupitia mitandao.

Yote haya utayapata katika makala hii ya 2 ya Habaritech. Pakua sasa makala yako uache kupitwa na madini yenye thamani kubwa.

Karibu.

$
Add to cart
Size
4.89 MB
Length
20 pages
Copy product URL

Ratings

5
(14 ratings)
5 stars
100%
4 stars
0%
3 stars
0%
2 stars
0%
1 star
0%