$2+

Habaritech Magazine 3

104 ratings
I want this!

Habaritech Magazine 3

$2+
104 ratings

Ulimwengu wa mitandao unabadilika kila kukicha. Katikati ya mabadiliko haya kuna watu wanaachwa nyuma na kupoteza ajira zao, lakini kuna wengine wengi wanakuwa mamilionea bila kutumia nguvu nyingi.

Mpaka mwaka 2017 mamilionea kwa dola za kimarekani walikuwa ni 1% tu ya watu duniani. Leo hii wapo zaidi ya 1% na 60% ya hawa ni vijana chini ya miaka 22. Katika makala hii utajua namna wameweza kuwepo mtandaoni bila kujulikana na namna wameweza kutengeneza pesa hizo.

$
I want this!
Size
9.2 MB
Length
19 pages
Copy product URL

Ratings

4.7
(104 ratings)
5 stars
89%
4 stars
4%
3 stars
2%
2 stars
0%
1 star
5%