Profile PictureHabariTech
$2+

Habaritech Magazine 4

33 ratings
Add to cart

Habaritech Magazine 4

$2+
33 ratings

Mitandao inaweza kuipa biashara yako mpaka Tsh. 10 mil/mwezi

Hiyo inawezekana pale tu unapojua njia sahihi za kutumia na tools za kidijitali zinazofaa kutumika na biashara yako. Mitandao inasaidia biashara ya aina yoyote ile kufanya vizuri. Haijalishi unauza karanga, nguo au magari.

Ukitumia vizuri mitandao na kwa usahihi utaifungua biashara yako kwa nafasi nyingi zenye faida.

Hii ndiyo sababu Toleo 4 limejikita kuelezea mitandao na faida zake katika biashara. Kuanzia Blockchain mpaka digital tools nyingine.


Mfano mzuri wa mtu ametengeneza zaidi ya 10x ya hela aliyowekeza ni NFTsKnowledge. Mitandao ina fursa nyingi sana kwa kila mtu. Biashara yako ina wateja 1 million ukiiweka mkoani kwenu, ina wateja 40 million ukiitangaza katika jamii ya mtandaoni ya kitanzania, lakini itakuwa na wateja zaidi ya 4 billlion ukiitangaza mtandaoni katika level za kimataifa.

$
Add to cart

utapata

Size
5.44 MB
Length
22 pages
Copy product URL

Ratings

4.8
(33 ratings)
5 stars
94%
4 stars
0%
3 stars
0%
2 stars
0%
1 star
6%